kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Kwa macho ya kimpira naona Mzamiru ana vitu vingi kumzidi Babacar Sarr.
Sarr ni mzito na ndiye anaeigharimu simba kwa kushindwa kukaa eneo lake na kukaba kwa wakati.
Sijui kamati ya usajili ya Simba iliangalia nini kwake ambacho Mzamiru hana.