kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Mechi ya kwanza ambayo MZAMIRU alikuwepo iliishaje?Kwa macho ya kimpira naona Mzamiru ana vitu vingi kumzidi Babacar Sarr.
Sarr ni mzito na ndiye anaeigharimu simba kwa kushindwa kukaa eneo lake na kukaba kwa wakati. Sijui kamati ya usajiri ya simba iliangalia nini kwake ambacho mzamiru hana.
Mkataba wa Bacar Sarr na Saido una vipengele vyenye utata kama dp world they must play when they are fit otherwise is against the contract.Kwa macho ya kimpira naona Mzamiru ana vitu vingi kumzidi Babacar Sarr.
Sarr ni mzito na ndiye anaeigharimu simba kwa kushindwa kukaa eneo lake na kukaba kwa wakati.
Sijui kamati ya usajili ya Simba iliangalia nini kwake ambacho Mzamiru hana.
10% ndiyo inaangaliwa.Kwa macho ya kimpira naona Mzamiru ana vitu vingi kumzidi Babacar Sarr.
Sarr ni mzito na ndiye anaeigharimu simba kwa kushindwa kukaa eneo lake na kukaba kwa wakati.
Sijui kamati ya usajili ya Simba iliangalia nini kwake ambacho Mzamiru hana.
Naunga mkono hoja. Mpaka ninavyoandika sijui Kwa nini Benchikà alipanga kiungo Babacar, Ngoma + Kanuti.Kwa macho ya kimpira naona Mzamiru ana vitu vingi kumzidi Babacar Sarr.
Sarr ni mzito na ndiye anaeigharimu simba kwa kushindwa kukaa eneo lake na kukaba kwa wakati.
Sijui kamati ya usajili ya Simba iliangalia nini kwake ambacho Mzamiru hana.
Sasa angeanza na viungo wakabaji wawili si mngeangushiwa mvua ya magoli! Imagine kocha kachezesha viungo wakabaji watatu, lakini bado lile jini hatari Stephen Azii Kii lililazimisha penati!Naunga mkono hoja. Mpaka ninavyoandika sijui Kwa nini Benchikà alipanga kiungo Babacar, Ngoma + Kanuti.
Tena kamkaba RonaldoLakini mbona walituambia waliongea na Sadio Mane kabla hawajamsajili akawahakikishia hiyo ni mali ichukueni?!
Hahahahaha...mie ndio huwa wananifurahishaga sana hao jamaaHao wachezaji mlipowasajili, mliwasifia sana humu jukwaani! Cha kushangaza leo mnawageuka na kuanza kuwaponda!
Kuna mdau kasema hapo mkataba wao unataka wachezeNaunga mkono hoja. Mpaka ninavyoandika sijui Kwa nini Benchikà alipanga kiungo Babacar, Ngoma + Kanuti.
Unasikiliza politics za akina mangungu?Lakini mbona walituambia waliongea na Sadio Mane kabla hawajamsajili akawahakikishia hiyo ni mali ichukueni?!
Heshima iliyopitiliza inazaa uoga. Tafsiri nyepesi ni kuiogopa Mechi. Viungo wakabaji watatu waliifanya timu ikaribishe mashambulizi na ikose balance.Sasa angeanza na viungo wakabaji wawili si mngeangushiwa mvua ya magoli! Imagine kocha kachezesha viungo wakabaji watatu, lakini bado lile jini hatari Stephen Azii Kii lililazimisha penati!
Hapo ndo nashangaa.Walisema WANASHUSHA VYUMA🤣🤣🤣Hao wachezaji mlipowasajili, mliwasifia sana humu jukwaani! Cha kushangaza leo mnawageuka na kuanza kuwaponda!
Comrade, hiyo ni game plan tu ya mwalimu. Hata Yanga waliiheshimu Mamelodi kwa kuchezo wa kujilinda zaidi, na wakapata sare ya 0-0 kwenye michezo yao miwili ya klabu bingwa Afrika.Heshima iliyopitiliza inazaa uoga. Tafsiri nyepesi ni kuiogopa Mechi. Viungo wakabaji watatu waliifanya timu ikaribishe mashambulizi na ikose balance.