INAUZWA Mzani unauzwa elfu 70

hurrem_sultana

Senior Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
136
Reaction score
361
Mzani bomba kwa ajili ya biashara(duka, bucha, jiko n.k) unauzwa..umegongwa muhuri wa mwaka mzima, unapatikana na jiwe la kilo 2,kilo 1,nusu na robo...mpya dukani ni 120,000 mimi nauza Tsh 70000 tu.

Unapatikana Dar es Salaaam

0759853116

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…