Mzani used Bei gani?

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
16,841
Reaction score
15,673
Naomba kujua Bei ya mzani used kama Kuna mwana jf anao na anauza.
 
Mods naomba mnirekebishie ni mnzani siyo mpinzani wasije nitajie Yeriko anayejiita Nyerere wa mchongo
 
Mzani wa kilo ngapi? Wa mawe au umeme?
 
Mtoa mada unatakiwa kuwa serious kidogo! Ni kwamba wakati unawaza kuandika mizani, ulikuwa unamuwaza mpinzani wako wa biashara au!
 
Mizani zipo za aina nyingi na za kupimia bidhaa tofauti tofauti,
Mfano mzani wa kupimia Dhahabu na mzani wa kupimia nyama,zote ni mizani ila zinapima vitu vyenye uzito tofauti,

Ikizidi gram moja kwenye mzani wa kupimia nyama sio tatizo kubwa ila ikizidi gram 1 kwenye mzani wa kupimia Dhahabu ni tatizo,

Kua specific na bidhaa unayoihitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…