Mwizukulu wa Buganda
Member
- Nov 19, 2024
- 94
- 307
Mzee huyo anasema Rais Mwinyi kwa miaka 60 iliyopita hajatokea kama yeye, ameongeza kuwa shida yake ni maendeleo na aliamini kuwa wakipata uongozi mpya basi watayapata, lakini bahati mzuri hayo maendeleo wameyapata kupitia kwa Mwinyi. Amesema kuwa, Hayati Maalim Seif alisema wazanzibar wakimpa madaraka basi Zanzibar itakuwa kama Singapore, na sasa imeshakuwa chini ya Mwinyi hivi sasa.
Rais Mwinyi ni Hazina, ikiwa tutaipoteza sidhani kama tutakuja kuipata tena
Rais Mwinyi ni Hazina, ikiwa tutaipoteza sidhani kama tutakuja kuipata tena