Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Elimu ni suala la lazima katika dunia ya leo. Kuna elimu ya msingi, elimu ya kati na elimu ya juu. Kila level ina umuhimu katika maisha ya watu.
Kilele cha elimu ni chuo ambako kijana huandaliwa tayari kwa kutumika katika jamii yake.
Sasa baada ya kumaliza chuo hapo ndipo minong'ono ndani ya jamii inaibuka.
Utasikia kauli hizi ;
' kamaliza chuo huu mwaka wa 5 hana ajira ' wakikazia kuwa amepoteza fedha za wazazi wake tu.
' Sijui nina balaa gani, mtoto wa pili huyu nimemsomesha mpaka chuo kikuu hana kazi, nilijua wangeniokoa lakini wapi'
Na kauli zingine kama hizi ziko nyingi mtaani.
Rafiki yangu mmoja aliniambia anajuta kupoteza muda chuo kikuu baada ya kukaa miaka 8 bila ajira ya uhakika.
Kusomesha sio fashion
Kusomesha sio bahati nasibu
Hilo lazima liwekwe wazi.
Kama mzazi ni vyema ulitambue hili mapema ili kuepusha masikitiko yasiyo ya lazima.
Msomeshe mtoto kulingana na uwezo wa kipato chako. Kama kipato chako kidogo msomeshe hata kwa level ya cheti cha awali au NTA LEVEL 5 mbele akajiendeleze mwenyewe kama ana kiu ya elimu.
Angalieni somesheni vijana kwenye courses ambazo munaweza kuwapa mitaji midogo ili wajiajiri, kuna course ili ujiajiri lazima utumie milioni 20 na zaidi, kama mzazi kipato chako kidogo umesomesha mtoto kwa kusaidiwa na serikali utaweza kumpa mtoto milioni 20 atimize malengo yake?.

Upvote
0