Mzazi kaitwa shule kwenye kesi ya mtoto wake

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
MTOTO: baba unaitwa shule.
BABA: kuna nini?

MTOTO: Sijui ww twende.

BABA: haya hebu twende

MWALIM: karibu mzee mwanao tumemuuliza Kampala iko wapi kashindwa kujibu

BABA:kamgeukia mwanae akamzaba kibao kwa hasira na kumwambia ww nilikukataza kuchezea vitu vya watu haya KAMPALA ya mwalimu iko wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…