Mzazi mwenzangu amegundua nina mahusiano mengine nje ,nifanye nini ili anisamehe turudi kama mwanzo?


Kumbe we ushuzi eeeeeee?
 
mroge kama hujui kwa mganga mwambie rafiki yako Joy anapajua
 
Hapo naona mtu anakufa tena bila ushahidi wowote na hakutakuwa na kesi pia ndoa yako inaenda mochwari si muda mrefuna hautaweza kuiokoa. Ni mkosi mkubwa sana kufumaniwa mbashara. Pole.
 
Kifupi...hamuwez kuwa kama zaman ever kwa sababu zaman yeye tu ndo alikua akimiliki papuchi...na sasa ishakua mali ya uma
 
Yaani binadamu hajawahi kuridhika,,ila nakushauri nenda kafanyiwe maombi na ikiwezekana utubu kwa kufunga maana shetani anazidi kukuvuta
 
Kwann usichukue tu talaka ukaendelea na huyo maana kweli zinakuzuzua hizo, hii ndo maana wazee walikataa mwanamke kumiliki wengi hawana uwezo wakumiliki
 
Ndo wale wanawake wapumbavu waliotajwa kwenye Biblia.
 
Kama vipi mroge dada [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wakati wakucheat ulituuliza pambana na Hali yako inabidi uwe omba omba ndo ujue mtu anaekupenda ni yupi ulie zaa nae au anae kuchezea
 
Duuh kipindi ulipoanza ungetushikirisha, hata sasa tungejua namna ya kukushauri na hilo!!
 
wewe ni mpuuzi sana,
 
Nitakupa vingi zaidi ya alivyokupa huyo bwana. Na mimi sisafiri. Nipo mjini hapa hapa kila siku nakuchovya wewe kila usiku...

Tosa wote, njoo kwangu. Ukiwa tayari ni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…