Mzazi mwenzangu ananilaumu na kunitangaza kwa ndugu zangu kwamba nimekataa kumsomesha mtoto wangu!

Mi hata sikuonei huruma utajua mwenyewe. Una familia lakini bado unazaa nje hovyo hovyo.
Ndo maana mnakufa mapema.
Fata ushauri wa wadau

Nilizaa kabla sijao mkuu sio ndani ya ndoa ni mtoto wangu wa kwanza
 
Huyu mwanamke anaanza kupata joto ya jiwe, aliiga life style za wenye nazo sasa yamemshinda, KUWA MAKINI

Huyu mwanamke anataka kukuharibia kwenye ndoa yako,KUWA MAKINI

Kuwa makini msije mkaharibu akili ya mtoto kwa sabb ya ujinga wa mamake.
 
Tena Hilo suala la English medium ndio tatizo,,yaani wadada tumekuwa Kama ma hamnazo......mtu huna uwezo,na mzazi mwenzio Hana uwezo unaforce,matokea katoto kila muhula kapo nyumbani for two weeks kamefukuzwa maskini ya Mungu

Mdada anaiga Wadada wenzake walioajiriiwa au wenye biashara nzuri, au wenye Waume wenye vipato anampa mzigo kijana wawatu jobless kazi za kuungaunga
 
Baadhi ya wanawake wa zama hizi wendawazimu usipokuwa makini atakutoa ulimi,,,! Shikiria hapo hapo ao kachukue mwanao,
 
Kuanzia sasa anza kuweka hela ya matumkzi kwenye account tunza risiti zote,
Lipa hela kulingana na uwezo wako
 
Usimchekee mtoto atahamua mwenyewe akikua akupende au aache.
 
Piga vikwazo vya kiuchumi, mwezi ujao usitume ile laki, akikumbushia mwambie utamtumia mwezi unaofuata, nao unawatumia 23,500/= unasema hali ngumu.
 
Hamna kitu kinacho waumizaga wanawake kama kushindana au kuiga na mara nyingi haangalii uwezo alikuwa nao mzazi mwenzie au mwenza wake au uwezo alikuwa nao yy.Kwa kuwa fulani kafanya na yy naye anataka kufanya,sasa husiombee udate na demu wa type hizi ,wanapenda kukimbizana na trend za nguo,viatu pamoja na matoleo mapya ya simu.
 
Sema hiyo shule nayo ni ya bei sana, 2M class two???????? Mbona zipo shule nyingi tu ambazo ni affordable ht kwa pesa zetu za kudunduliza.
 
Tuanze na hapa watoto zake wanasoma wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…