Mzazi mwenzangu bado ananitaka licha ya yeye kuolewa

"Watoto wangu hawatanishukuru kwa kumchagua mama Mlevi kama alivyo yeye"

Kwa hiyo kauli yako nafikiri hata huyo mtoto wako atakushukuru sana.
 

Kamanda umeongea point kuu na nguzo kuu ya heshima ya maisha. Blessings comrade.
 
Kamanda umeongea point kuu na nguzo kuu ya heshima ya maisha. Blessings comrade.
Mbalizi1 unanikumbusha DDC na Mapelele enzi hizo, Bahati Mwaipopo bonge la center half akichezea Tiger FC. Vumbi na upepo, na jua lenu na mafuriko nayo sijui bado vipo..., Nikirudi kusalimia ntakucheki
 
Asiseme ume mlala Bali mmelalana na utamu wote mlipata na inaonekan yeye ndio alikufaidi sana wewe ndio mana anakumbuka raha zako na ana pambana kupata tena ule utamu uyu vipi kusema ume mlala
 
Ahaaaa kumbe mama D ni mtalaka wako, basi simtaki tena kwani hata mimi sipendi mwanamke mlevi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…