Mzazi/wazazi/walezi wako wanakuchukuliaje kwa hili?

Mzazi/wazazi/walezi wako wanakuchukuliaje kwa hili?

Tasia I

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2010
Posts
1,223
Reaction score
193
Habari JF,
Siku nyingi kidogo sikua nimeingia kwa jukwaa kwa sababu ya majukumu ya hapa na pale
lakini leo nmebahatatisha ka mda kiddogo.
Nimejikuta nikiwaza, na nikahitimisha kua tunahitaji kujitathmini na kuafanya zaid ya hivi tunavyofanya.
jF, Kwa wale amabao wazazi/walezi wetu wangali bado hai, hivi wana tafsiri gani juu yetu sisi wanao.
Yaani, baba/mama yako anakuchukuliaje wewe kama mwanane?
wewe ni faraja kwake?
wewe ni tumaini kwake?
wewe ni fahari yake/yao?
AU
Wewe ni mzigo kwao?
Ni chanzo cha huzuni yao?
Ni majuto kwao N.k
Kilichonifanya nikawaza ivi ni baada ya kumsikia mzazi mmoja akim comment mwanae.
kiukweli alikua anaregret kumzaa

Ushauri wangu JF, haswa kwa sisi ambao bado tupo kwene umri wa ujana,
pamoja na mambo mengine meengi binafsi tuliyonayo lakini jamani
tuwe tunawakumbukuka wazee wetu na tujitahidi ka fahari yao.
 
Sisi wengne tunajilea wenyewe..
niltambua kua mpo watu wa kundi hili ndo sababu nikatangulia kusema kwa wale ambao wazazi/walezi woa wangali hai.
Hata hivy poleni watu wa kundi hili. Muwe na moyo watumaini.
 
Habari JF,
Siku nyingi kidogo sikua nimeingia kwa jukwaa kwa sababu ya majukumu ya hapa na pale
lakini leo nmebahatatisha ka mda kiddogo.
Nimejikuta nikiwaza, na nikahitimisha kua tunahitaji kujitathmini na kuafanya zaid ya hivi tunavyofanya.
jF, Kwa wale amabao wazazi/walezi wetu wangali bado hai, hivi wana tafsiri gani juu yetu sisi wanao.
Yaani, baba/mama yako anakuchukuliaje wewe kama mwanane?
wewe ni faraja kwake?
wewe ni tumaini kwake?
wewe ni fahari yake/yao?
AU
Wewe ni mzigo kwao?
Ni chanzo cha huzuni yao?
Ni majuto kwao N.k
Kilichonifanya nikawaza ivi ni baada ya kumsikia mzazi mmoja akim comment mwanae.
kiukweli alikua anaregret kumzaa

Ushauri wangu JF, haswa kwa sisi ambao bado tupo kwene umri wa ujana,
pamoja na mambo mengine meengi binafsi tuliyonayo lakini jamani
tuwe tunawakumbukuka wazee wetu na tujitahidi ka fahari yao.

Mimi ni faraja na fahari kubwa kwao..maana wamenilea katika malezi bora na namshukuru Mungu sijawa disappoint.... Namuomba mungu awaajalie maisha marefu kiasi cha kuwaona vitukuu na vilembwe vyao...!!
 
Babaangu alikua ana hope sana na mimi,ila siku 30 baada ya kumaliza my Univ Examz akafariki,fadhila zangu kwake ni kumuombea Dua'a,alitumia rasilimal zake kunisomesha!
Kila nilipomuudh alinisamehe kwakweli
 
afu baada ya hapa tuta-gain nini?
sio kua hutogain il ni kua utagain lakini hutojua kua umegain kwa kua umewatendea haki wazazi wako.
pengine huja gain kwa sababu hujatenda inavyokupasa kwawazazi wako.
sasa kam unataka kuona kinyume chako endelea na hyo tabia ya avatar yako.
we ni kongosho.
 
Babaangu alikua ana hope sana na mimi,ila siku 30 baada ya kumaliza my Univ Examz akafariki,fadhila zangu kwake ni kumuombea Dua'a,alitumia rasilimal zake kunisomesha!
Kila nilipomuudh alinisamehe kwakweli
Pole bro/c6.
hata hivyo kwa mda aliokuwa hai utakua ulimfurahisha manake kaa alishuhudia wewe kumaliza university
hakujuta kamwe kwa jitihada zake.
Aliondoka akiwa na amani kwa moyo wake. hii ni njia bro/c6, tujipange wote tutamfuata mzee siku moja.
 
Duh, asante ila kutenda yanayopaswa na wazazi ni reletive usipende kuwa judgemental ivo.
Wanaowaozesha watoto wakiwa la pili ni wazazi, wanaokeketa watoto wa kike ni wazazi.
Wanaozuia wavulana kusoma wachunge ngzlombe ni wazazi.
sio kua hutogain il ni kua utagain lakini hutojua kua umegain kwa kua umewatendea haki wazazi wako.
pengine huja gain kwa sababu hujatenda inavyokupasa kwawazazi wako.
sasa kam unataka kuona kinyume chako endelea na hyo tabia ya avatar yako.
we ni kongosho.
 
Mdau Tasia,thanx sana,dua yangu ni kazi tosha kwake,lakini kutenda mema pia kutamuweka safe yeye huko alipo
Pole bro/c6.
hata hivyo kwa mda aliokuwa hai utakua ulimfurahisha manake kaa alishuhudia wewe kumaliza university
hakujuta kamwe kwa jitihada zake.
Aliondoka akiwa na amani kwa moyo wake. hii ni njia bro/c6, tujipange wote tutamfuata mzee siku moja.
 
Mimi siwezi kujua, labda uwaulize wazazi wangu. But all in all ni kwamba in Africa watoto ni mali na wazazi wanatakiwa kujivunia kua na watoto. There are 6 of us, wazazi walisacrifice alot kutulea, na kuhakikisha we have the best possible education and environment to grow in given the circumstances. walifanya hivo out of love but inaweza pia kua investment nzuri kama watafaidi from their efforts...
 
Back
Top Bottom