Ruge Opinion
JF-Expert Member
- Mar 22, 2006
- 1,838
- 705
Ni kuiga tu. Wanaiga wanayoyaona kwenye Grammy awards, MTV awards, etc. Tofauti ni kwamba huko nchi za magharibi ndoa kama taasisi imekufa. Watu wengi wamelelewa na mama zao kwa sababu wamezaliwa out of wedlock au baba zao waliachana na mama zao mapema kutokana na sheria namitazamo inayowapendelea wanawake na kuwakandamiza wanaume. They get out fast as soon as the relationship gets sour otherwise they are likely to be the losers. Hivyo haishangazi wasanii kuwataja mama zao. Kwa sababu hawawajui baba zao au hawakukua nao. Hapa kwetu hiyo hali haijawa mbaya kiasi hicho.Iguess
Ndivyo ilivyo
Ndivyo ulivyokuwa
Tangu Kipindi kile cha Yesu Kristo..