mwanajamii mpya JF-Expert Member Joined Mar 18, 2017 Posts 554 Reaction score 445 Jun 15, 2017 #21 Huyu mzee anazeeka vibaya.
Shamkware JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 1,750 Reaction score 2,283 Jun 15, 2017 #22 Huyu akili maji kweli hazimtoshi kabisa
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Jun 15, 2017 #23 good96 said: Mkuu mbona mnageukana wenyewe kwa wenyewe Click to expand... Ukiona hivyo ndio ujue dalili za mgogoro tayari
good96 said: Mkuu mbona mnageukana wenyewe kwa wenyewe Click to expand... Ukiona hivyo ndio ujue dalili za mgogoro tayari
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,267 Jun 15, 2017 #24 Huyu achukue tu uenyekiti
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jun 15, 2017 #25 hahahaaah kwa hiyo yanga kuongozwa na Akili Mali endapo atachaguliwa??
IbrahimJumaMassanja Member Joined Sep 2, 2015 Posts 10 Reaction score 0 Jun 15, 2017 #26 Sio kwelii, ni njia tuu ya kuwapumbaza walee bendera fauta upepoo
Miiku JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 3,835 Reaction score 2,642 Jun 15, 2017 #27 Akilimali abaki tu kwenye kamati ya ulozi wa Yanga...huko anakotaka hakumfai.
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,340 Reaction score 12,055 Jun 15, 2017 #28 Bundi kashatua kwa jirani