Mzee Akilimali acharuka, aapa Manji hatorudi Yanga

Hivi hawa Yanga wanampaga nini Manji kiasi kwamba wanaweweseka sana????
mzee akilimali ni muelewa sna, kama anataka ajitokeze hadharani
 
Hakuna sehemu niliosema mpira unahitaji pesa tu au sehemu niliosema Yanga isifate katiba nilichosema Mzee Akilimali ni choka mbaya na mpira wa sasa unahitaji pesa huyo Mzee ni njaa tu inayomsumbua hana lolote

Kama Mpira unahitaji pesa tu kwanini iwepo Katiba?
 
Hakuna sehemu niliosema mpira unahitaji pesa tu au sehemu niliosema Yanga isifate katiba nilichosema Mzee Akilimali ni choka mbaya na mpira wa sasa unahitaji pesa huyo Mzee ni njaa tu inayomsumbua hana lolote

Akilimali kaongelea Katiba sio pesa

Kaona Katiba inakiukwa Sasa Wewe unaleta issue ya uwezo wake binafsi wa kipato kuna uhusiano gani hapo?
 
Huyo maji anatoa pesa bure??
Wengi wanatakatisha pesa kwa chaka la udhamini!

Mo.
 
Akilimali anataka uenyekiti Yanga na kuhusu katiba bodi ya wadhamini wanasema hakuna katiba iliovunjwa Yanga
Akilimali kaongelea Katiba sio pesa

Kaona Katiba inakiukwa Sasa Wewe unaleta issue ya uwezo wake binafsi wa kipato kuna uhusiano gani hapo?
 
Akilimali anataka uenyekiti Yanga na kuhusu katiba bodi ya wadhamini wanasema hakuna katiba iliovunjwa Yanga

Anahaki ya Kuutaka Kwa Kuwa Katiba ya Yanga haijakataza Maskini kuwania nafasi hiyo
 
Daaa...Mimi mzee sikupingi ila kwanini wewe kila kitu unapinga then huna msaada wowt kwa timu..bora uyo anaesemew ila analipa wachezaj
 
Umeambiwa Manji ni mgonjwa asijihusishe na chochote mpaka disemba15 hata biashara zake hashuguliki nazo,bi hindu atawashikia akili mpaka lini nyie mbumbumbu?
Wewe ndio msemaji wa Manji, achukuliwe form then trh 15 afike ofisi za Yanga
 
Nyuma yako mbele yetu mzee👏👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…