Huyu hana lolote aliwahi sema atahakikisha anaifunga Simba mara tano mfululizo matokeo yake Okwi akatupiga, ni wa kupuuzwa.Yaani kama Yanga wanataka wapoteane mpaka kushuka daraja msimu huu ,basi wamchezee huyu mzee,hawa wazee ndo wanaojua Yanga Fc imelalia wapi.
sawa lakini kwenye hili akina mzee Akilimali hawajitokezi kama whistle blowers bali wanaopenda kubakiza status quo kwa hofu kuwa wao binafsi watapata nini kama mabadiliko yoyote kwe vilabu yatatokea. kwani itatokea nini kama Manji atabanwa kujenga uwanja kulipa makocha na wachezaji kuisafirisha timu klabu mwenyewe kwa kipindi chote cha miaka 10? ni nani atapata hasara kama Manji akipata 75% pamoja na kuihudumia klab?Nimekuelewa lakini nadhani hujawaelewa hao wanaozitaka Simba na Yanga....mmmoja anataka asilimia 51 ya timu na wala hajazungumzia suala la mkataba...anataka akubaliwe kwisha, na akatoa sh. 100 milioni sawa na wakoloni walivyotoa shanga na nguo kwa machifu na elites wengine wa Enzi hizo...mwingine anataka akodishiwe timu kwa miaka 10 na apewe logo na yeye atachukua faida asilimia 75 na asilimia 25 ndiyo klabu....yaani tayari ameshaweka masharti...Yeye ni kiongozi na anaitisha mkutano wa dharura na kutoa masharti kwa wanachama 'wachache' ili watoe maamuzi kwa muda mfupi...Yaani yeye ni kongozi na ana interest na anaongoza mkutano huku mabasi yakiwa nje ili kuwapeleka wanachama mpirani...Yaani tayari ameshaamua kuwa atapewa logo na asilimia 75 haya ndiyo masharti yake....Hii inatokea karne ya 21 na watu wanashangilia...wanachama hao hao kazi yao kupiga kelele hawawezi hata kulipa ada ya mwaka ya uanachama, wakati mwingine wanalipiwa..
Ni kweli ni aibu kwa klabu ya miaka 80 kuwa katika hali hiyo....but who is to blame????Ni akina nani walifanya registration ya logo?? Lengo lilikuwa zuri lakini je, lengo lilitimia? Kwanini watu wakiwemo wasomi wenye progressive minds hawadumu Yanga na Simba???? Katiba za klabu zimetengenezwa kwa kuzingatia maelekezo ya FIFA , kwamba kuwe na sekretariati zenye mamlaka za kiutendaji....Je, Simba na Yanga kuna sekretariati zenye mamlaka za kiutendaji hivi sasa???? Kama hakuna ni kwanini???? Yaani kinachotokea Simba na Yanga kiuongozi mtu huwezi kuelezea ni nini, ni mchanganyiko wa uongozi wa miaka ya 60 na 70 na uongozi wa kileo na maelekezo ya FIFA.... Yaani ni vurugu, sijui kuna kamati za wazee nazo zikiamua eti maamuzi yana nguvu, sijui kuna vijana eti nao wana nguvu kimaamuzi, sijui kuna matawi eti nayo yana nguvu kimaamuzi...kuna viongozi wa kuchaguliwa (na ambao nadhani wapo kufanya rubber stamping wa maamuzi fulani) na mtu akileta hoja anafukuzwa na the so called mkutano wa wanachama na ambao umeitishwa kinyume na katiba..kuna viongozi wa kuajiriwa, sijui wanaarijiwa vipi na kama matangazo yao ya kazi yanatolewa wapi...Sasa mtu huelewi ni nani wenye mamlaka ya uongozi au utendaji je, ni sekfretariati yaaani wale wa kuajiriwa au wale wa kuchaguliwa...wale wa kuajiriwa wanawajibika kwa nani je ni kwa Mwenyekiti, Kamati ya utendaji au wanachama....yaani mtu huelewi...serikali ipo... TFF nayo ipo na ambayo nayo ina madudu yake....hahahahahhaha, soka ya Tanzania......tehtehtehtehteh...Yaani wasemaji wa klabu wanakuwa ni wana-mipasho, na watu wanafurahi na kuchekelea mipasho.....Yaani wanakaa vijiweni na kupongezana je, umemuona na kumsikia fulani alivyowasema jana wana-mikia ????umemsikia fulani alivyowasema vyura????? Duh, kazi ipo kweli kweli.....
wanataka status quo kwenye vilabu kwa faida zao lakini sio whistle blowers. kama Simba na Yanga zingekuwa zinafanya vizuri kiuchumi kusingekuwa na sababu za kuwasikiliza akina Manji na huenda tungetafuta wanunuzi wa vilabu vyetu kwa kutangaza tender ili kuruhusu ushindani lakini kwa Yanga na simba zilivyo sasa ni first in first out maana kocha na wachezaji wanahitaji fedha ambazo akina nanihii hawanazo. sioni ubaya mtu akichukua 51% pamoja na kuigharimia club kulivyo hivi sasa akina nanihii wanamiliki 100% lakini hawawezi hata kununua mipira ya mazoeziNimekuelewa lakini nadhani hujawaelewa hao wanaozitaka Simba na Yanga....mmmoja anataka asilimia 51 ya timu na wala hajazungumzia suala la mkataba...anataka akubaliwe kwisha, na akatoa sh. 100 milioni sawa na wakoloni walivyotoa shanga na nguo kwa machifu na elites wengine wa Enzi hizo...mwingine anataka akodishiwe timu kwa miaka 10 na apewe logo na yeye atachukua faida asilimia 75 na asilimia 25 ndiyo klabu....yaani tayari ameshaweka masharti...Yeye ni kiongozi na anaitisha mkutano wa dharura na kutoa masharti kwa wanachama 'wachache' ili watoe maamuzi kwa muda mfupi...Yaani yeye ni kongozi na ana interest na anaongoza mkutano huku mabasi yakiwa nje ili kuwapeleka wanachama mpirani...Yaani tayari ameshaamua kuwa atapewa logo na asilimia 75 haya ndiyo masharti yake....Hii inatokea karne ya 21 na watu wanashangilia...wanachama hao hao kazi yao kupiga kelele hawawezi hata kulipa ada ya mwaka ya uanachama, wakati mwingine wanalipiwa..