Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Anaomba kuombewa kama nonino"Hali yangu mbaya naomba wana Yanga na wapenda michezo wote waniombee, kisukari kinanitesa sana nipo huku Bagamoyo nikijiuguza"
- Mzee Akilimali.View attachment 1045662
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nimpigie simu Manji ampelekee hela ya matibabu"Hali yangu mbaya naomba wana Yanga na wapenda michezo wote waniombee, kisukari kinanitesa sana nipo huku Bagamoyo nikijiuguza"
- Mzee Akilimali.View attachment 1045662
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa mstari wa mbele kumtukana Manji. Number yake anayo, apige mwenyewe.Ngoja nimpigie simu Manji ampelekee hela ya matibabu
Kuna kipindi ilitembea sana video clip ya Mpemba mmoja aliyesema issue ya Akilimali aachiwe yeye anamuweza. Sijui ni hayo?"Hali yangu mbaya naomba wana Yanga na wapenda michezo wote waniombee, kisukari kinanitesa sana nipo huku Bagamoyo nikijiuguza"
- Mzee Akilimali.View attachment 1045662
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unayo tuweekeKuna kipindi ilitembea sana video clip ya Mpemba mmoja aliyesema issue ya Akilimali aachiwe yeye anamuweza. Sijui ni hayo?
Naisaka kwenye simu siioni. Ni muda kidogoMkuu unayo tuweeke
MTC | 101| [emoji769]
Naisaka kwenye simu siioni. Ni muda kidogo
Dah kweli wakati si milele... Enzi zake alikuwa mkorofi sana"Hali yangu mbaya naomba wana Yanga na wapenda michezo wote waniombee, kisukari kinanitesa sana nipo huku Bagamoyo nikijiuguza"
- Mzee Akilimali.View attachment 1045662
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa watu watatu wanamchambua Akilimali. Huyo Mpemba, Taxi driver mmoja anayemjua Akilimali alivyoingia mjini toka kwao Burundi na mwingine wa tawi mojawapo.Ukiipata tuwekee
MTC | 101| [emoji769]
Katibu wa kudumu wa baraza la wazee japo halipo kikatiba. Wapi alichaguliwa, hakuna anayejua.Dah kweli wakati si milele... Enzi zake alikuwa mkorofi sana
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njano buana kama homa ya manjanoKatibu wa kudumu wa baraza la wazee japo halipo kikatiba. Wapi alichaguliwa, hakuna anayejua.
Mwenyekiti wake alikuwa boya tu. Maongezi yote ni katibu Akilimali au Akilipesa.
Huyo ni Simba siku nyingi. Yupo kwenye payroll ya Moπππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njano buana kama homa ya manjano
Jr[emoji769]
DuuuuhhHuyo ni Simba siku nyingi. Yupo kwenye payroll ya Moπππ
Apumzike kwa amaniDah kweli wakati si milele... Enzi zake alikuwa mkorofi sana
Jr[emoji769]