Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Kama binadam mwenzetu tunakuombea kwa mungu kutokana na mtihani uliokupata ila ukipona ujifunze kutoudhi na kuwakwaza hao watu unawaomba leo wakuombee."Hali yangu mbaya naomba wana Yanga na wapenda michezo wote waniombee, kisukari kinanitesa sana nipo huku Bagamoyo nikijiuguza"
- Mzee Akilimali.View attachment 1045662
Sent using Jamii Forums mobile app