Mzee Akilimali from Kigoma na sio Pwani, Yanga SC mnalo hilo

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Ndugu zangu wana Yanga Mzee AkiliMali ni mtu wa kigoma na watu wa kigoma wanajulikana kwa sifa ya ubishi na kutokushindwa ,upande wa simba alikuwepo Mzee Kilomoni mzee wa pwani lkn mzee huyu alitulizwa yeye pamoja na wakili wake na Mabadiliko yakapitishwa


Yanga mpaka leo hii wamemshindwa mzee AkiliMali kila siku wanadai wanamfuta uwanachama lakini wapi ,mzee AkiliMali ni wa kigoma hiki kisiki hakitolewi ni mbishi kinoma anakuambia yanga sio maturubai mpaka ikodishwe

Tayari kakiwasha huko jangwani akina mkwasa Tumbo joto


Hakuna aliyewahi kumshinda mkigoma kwenye ubishi...viva Mzee AkiliMali




 
hahahaha huyo mzee sio mbishi tu, sometime huwa ana hoja za msingi kama ukiacha ushabiki
Anakwambia Yanga sio Maturubai ya kukodisha!

Alikuwepo Mzee Yusuph Mzimba alikuwa mbishi kinouma lakin alipoingizwa kwny Payroll ya Quality group akatepeta kabisa hata ile ajali ya boda boda aliipata akivuka Nyerere road pale quality Centre
 
Soka la bongo pasua kichwa saana. Hivi huko kwa wenzetu ulaya kuna wazee wabishi kama hawa????? Anatambulika na katiba???

Huyu mzee nuksi saana
 
Jibu hoja, habari ya kutaja kabila fulani siyo sahihi. Generalization si sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…