Mzee Akilimali:" Mkwasa ni tatizo nipeni uwenyekiti niwasaidie sijaitwa Abramovich kwa bahati mbaya

Napitatuu
Huyubabuusiowakumjibuvibayakamaunaipendaaffamiliaayakooo

Msiniulizezaidi
 
mimi niu mshabiki wa simba lakini nasikitika kuona wapuuzi kama hutyu mzee wanaweza kuwaza uenyekiti wa kalabu kubwa kama yanga
 
Huyu mzee angepumzika tu au hana pa kumpatia tonge ndio maana anaendelea kupambania nafasi. Yupo Yanga miaka kibao hajafanya lolote leo hii atafanya nini.
 
Usisahau real Madrid na Barcelona ni za wanachama
Hatajuaje mpk yule mbumbumbu akiwaambia tofauti ndio anajua maana hao ndio maana wanaitwa mbumbumbu.
Muulize yeye ana hisa ngapi km inaendeshwa kwa hisa?
 
mimi sina timu kati ya simba au yanga....ila kwenye hiyo nafasi ya mwenyekiti..kuna jamaa fulan hivi aliowaleta ngoma na kamusoko...aliwahi kuwa katibu wa yanga...Tibolowa kama sikosei...yupo vizuri na hazina kwa football ya bongo...sema kizuri hakisifiwi kwao.
 
Apumzike kwa amani njaa kali huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…