Mzee Alipipi yuko Sahihi Kuwakata wagombea wa Chadema ni kweli wengi hawanaga Sifa na Waziri Mchengerwa alishalielezea hili!

Mzee Alipipi yuko Sahihi Kuwakata wagombea wa Chadema ni kweli wengi hawanaga Sifa na Waziri Mchengerwa alishalielezea hili!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wanachama Wengi wa Chadema hawanaga vigezo Vya kuwa Viongozi ndio sababu uchaguzi wa Serikali za Mitaa wengi waliondolewa na October hata Mgombea uRais wao ataondolewa

Mzee Alipipi Kasyupa ni nguli wa CCM na amekuwa Mbunge enzi za Nyerere hivyo yuko Sahihi kabisa kuwakata hao waliokatwa

Uongozi una vigezo vyake na Waziri Mchengerwa alisema Wanachama wa Chadema Wengi hawawezi hata kujaza Fomu sasa angewasaidiaje 🐼

Mchimba Kisima kadumbukia mwenyewe 😂
 
Back
Top Bottom