K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 May 17, 2026 #1 Mzee huyu inabidi apewe wana za kupunguza ukichaa wa uzeeni hayupo sawa kabisa. Yaani hata hajitambui kwa ukweli kwamba mauaji ya mwaka jana amri imetoka kwa boss wake
Mzee huyu inabidi apewe wana za kupunguza ukichaa wa uzeeni hayupo sawa kabisa. Yaani hata hajitambui kwa ukweli kwamba mauaji ya mwaka jana amri imetoka kwa boss wake
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,138 Reaction score 288,731 May 17, 2026 #2 Miaka 88 ni ngumu sana kuongea jukwaani
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,216 Reaction score 21,914 May 17, 2026 #3 Huyu kichwani nati hamna ! Hiyo nafasi aliyopo ni kama kivuli tu ! Umri umemtupa! Jitu linaongoza tangia awamu ya kwanza mpaka leo, hata ubongo umeganda sasa
Huyu kichwani nati hamna ! Hiyo nafasi aliyopo ni kama kivuli tu ! Umri umemtupa! Jitu linaongoza tangia awamu ya kwanza mpaka leo, hata ubongo umeganda sasa