jamani naombeni muni simulie ile riwaya ya mzee beka. Mimi niliishia pale ben amewateka watoto wa mzee beka na mke wa singh, halafu anajua wamemteka jabu pekee. Kumbe na ndugu yake pia ametekwa.
jamani naombeni muni
simulie ile riwaya ya mzee beka. Mimi niliishia pale ben amewateka
watoto wa mzee beka na mke wa singh, halafu anajua wamemteka jabu pekee.
Kumbe na ndugu yake pia ametekwa.