Mzee Butiku: CCM inatakiwa ijitathmini itazame namna ya kujifanyia reform. Mwanri Mzee wa zamani

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) inatakiwa ijitathmini na kujifanyia reform.

Mzee Butiku ameeleza kuwa hatua zilizochukuliwa hivi karibuni ndani ya chama hicho zinastahili lakini hazitoshi. Amesisitiza kuwa CCM inapaswa kuacha kutegemea maamuzi ya kizee au mbinu za zamani za badala yake ijikite katika kujirekebisha kama taasisi imara.

Mzee Butiku amebainisha kuwa CCM ya sasa ina idadi kubwa ya vijana waliosoma na wataalamu wenye elimu ya juu, hivyo inahitaji mabadiliko ya kimfumo yanayofanana na yale yaliyofanywa na Chama cha Komunisti cha China.

Your browser is not able to display this video.
 
Chama chochote kikiwa kinakaribia kufa inakuwa hivyo, bado tutaona mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…