Mzee Butiku: CCM na vyama vingine sio serikali muwe na mipaka

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema vyama vya siasa sio Serikali na wawe na mipaka kikiwemo CCM

Kuhusu tofauti kati ya chama na serikali katika maamuzi: "...opposition siku hizi utadhani ni serikali lakini ni vyama vyama sio serikali na lazima vijue mipaka pamoja na chama cha mapinduzi sio serikali ni chama kina serikali lazima kiache serikali kwa niaba ya wote wakiongozwa na rais wafanye maamuzi..."

Kuhusu jinsi chama kilivyozuia mchakato wa katiba kwa Rais: "...tulishindwa kupata katiba ilikuwa ni chama cha mapinduzi kinamwambia rais hatukukutuma katiba hatumpi hatumpi chama katiba tunampa rais wa jamhuria"

Soma Pia: Forums General Forums Jukwaa la Siasa Mzee Butiku: Upinzani usimame kwenye heshima, Tumuamini Rais

Your browser is not able to display this video.
 
DUUU.LEO NASIKIA MAKAMU WA RAIS KAJIUZULU.CCM YANGU TUMEFIKA HAPA KWELI? NDUGAI,MAJALIWA,MPANGO, CHIMBI. AISEE UKISHANGAA YA MUSA UTAYAONA YA FILAUNI
 
Tens hiyo sirikali na CCM wake ndiyo wanatakiwa wajiwekee mipaka na sio Tu mipaka ila kufuli la kuwadhibiti yangu mdomo,Tumbo,akili,mawazo,uaminifu,uropokaji,unable,vitisho,mtekaji,uuaji,wizi,ufisadi na yote ambayo ni chukizo kwa watu wa taifa hili.
 
Mzee wa kupuuzwa na kila Mtanzania.

Mpumbavu asiye na haya. Mnafiki wa kiwango cha juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…