ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Shida ipo wapi? Awaambie CAG na msajili wa vyama vya siasa wafanye uchunguzi halafu wachukue hatua stahiki.My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/Dck84CJOSAv/?igsi=cGMxeWFxdG0wNnZ4
Mada ni kufadhiliwa na Mabeberu,hayo mengine sidhani kama yanahitaji mtu akufadhili kuyasema"Hutaki kukosolewa una kikundi cha kuteka na kuumiza watu UJINGA UJINGA TU"
"Kwa akili yake yeye anajiona kama Mungu ni UJINGA UJINGA TU"
Na wanachama au umewahi ona beberu anafadhili CCM?Ccm inafadhiliwa na wahadzabe?.
Nchi hii haiombi Chochote ndio maana tumewagomea upuuzi wao.Mabeberu hawa ambao waziri wa mambo ya nje kazunguka huko ulaya kuombapo au mabeberu gani?
Kivipi?Alibanwa Kidogo akamuuza Polepole Huyu Mzee
Hawa ndo Kina Yeriko Nyerere waliozeeka
Huu upumbavu Huwa mnautoa wapi? Chadomo mna akili za kubemwndwa na Mabeberu Kwa nini mnaandika mambo bila ushahidi?Bajeti ya Tanzania kwa karibu 60 percent inatoka kwa wazungu Hilo siyo baya Wala siyo kutuuza
Chadema ndo nongwa
Uchawa mbaya sana
UongoCCM kinafadhiliwa na Waarabu
Umefufuka ghafla, eleza Nchimbi mmempeleka wapi?Utashangaa CHADEMA wananuna na kuanza kutukana Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimu
Serikali ya Tanzania imefadhiliwa na hao unaowaita "mabeberu " kwa chanjo.dawa za ukimwi ukoma na tb.kijeshi .miradi ya maji afya na elimu na hata bajeti TANGU TUPATE UHURU HADI LEOMy Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/Dck84CJOSAv/?igsi=cGMxeWFxdG0wNnZ4
Shida ni maneno yasiyo na facts ushahidi wowote. Miaka yote hiyo mmeshindwa kudhibitisha. Jipangeni upya mje na ushahidi safari hii else yatabaki maneno ya vijiweniMy Take