Amechagua njia mbaya sana ya kupita huyu mzee.My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/Dck84CJOSAv/?igsi=cGMxeWFxdG0wNnZ4
CCM mnafadhiliwa na nani?My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/Dck84CJOSAv/?igsi=cGMxeWFxdG0wNnZ4
Binafsi, chadema hata ingefadhiliwa na hamas ni sawa kabisa, ili kuwatoa wakoloni weusi madarakani...yaani samuya na genge lake dogo!.Utashangaa CHADEMA wananuna na kuanza kutukana Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimu
Kukosa akili ujanani ni mzigo kwa jamii unapozeekaMy Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/Dck84CJOSAv/?igsi=cGMxeWFxdG0wNnZ4
Mzee huyo aliongea mambo mengi sana..Nilimsikiliza kwa muda wa masaa matatu bila kuchoka.Lakini kuna mambo alijichanganya.Kwa mfano,aliongelea kufadhiliwa kwa Chadema kama rushwa.My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/Dck84CJOSAv/?igsi=cGMxeWFxdG0wNnZ4
Kungulu wa lumumba mnaanza kutoka mmoja mmoja huko mapangoni mlikofichwa siku 4 nzimaMy Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/Dck84CJOSAv/?igsi=cGMxeWFxdG0wNnZ4
Tukisema kuna anaye fadhiliwa na mafisadi tutakuwa tunakosea?My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/Dck84CJOSAv/?igsi=cGMxeWFxdG0wNnZ4
Mzee ni Chawa aliyeshindwa hoja. Rafiki yake Polepole anapotea wala hata ajali na kujisahaulisha!!! wewe ni mzee gani?My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/Dck84CJOSAv/?igsi=cGMxeWFxdG0wNnZ4
CCM inafadhiliwa na nani?Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha
Ni mabeberu wanaovizia uranium yetu .Mabeberu hawa ambao waziri wa mambo ya nje kazunguka huko ulaya kuombapo au mabeberu gani?
Mbona hata ccm unafadhiliwa na hao hao?My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/Dck84CJOSAv/?igsi=cGMxeWFxdG0wNnZ4
Hakuna mtu atakayenuna. Kuchukua hela kwa marafiki wa nje (japo si kweli) kwa ajili ya kupambania uhuru wa kujieleza na kupambania demokrasia ya uchaguzi huru siyo dhambi. Tunatakiwa kutumia nguvu zozote kuhakikisha usawa na haki za jinadamu Tanzania zinafikiwa. Mungu ni mwema tutafanikiwa tuUtashangaa CHADEMA wananuna na kuanza kutukana Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimu
Hivi deni la taifa linatokana na kukopa wapi kama sio kwa haohao mabeberu?My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/Dck84CJOSAv/?igsi=cGMxeWFxdG0wNnZ4
Hamtakuja kushika NchiKuna mdau mmoja huwa anapenda kusema "KUNA MSTARI MWEMBAMBA SANA UNAOTENGANISHA KATI YA USHOGA NA UCHAWA" ngoja tuishie hapo