ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #61
Fala kweli wewe,kukopa na kufadhiliwa Ili kutimiza matakwa ya bwana zenu ni sawa?Hivi deni la taifa linatokana na kukopa wapi kama sio kwa haohao mabeberu?
Kumbe ile miradi ya kwa niaba ya Marekani inapitia cdm? Bado mzee huyu na Wassira wanafanya siasa outdated hivi?!My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/DcmCPisMwdO/?igsi=MWJrZXVlNzFqYmlodQ==
Dogo wewe uko nyuma sana ya taarifa za sasa. Nikusaidie kidogo; Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2026/2027 ni shilingi za Kitanzania Trillion 62.33. Kati ya hizo, Misaada na Mikopo toka nje ya nchi ni shilingi za Kitanzania Trillion 9.3 sawa na asilimia 15.3. Upo Dogo?Bajeti ya Tanzania kwa karibu 60 percent inatoka kwa wazungu Hilo siyo baya Wala siyo kutuuza
Chadema ndo nongwa
Uchawa mbaya sana
Sasa kama mapolisi yote mnayatoa UVCCM watashika vipi nchi mkuu,Mkunda mwenyewe ni zao la CCMHamtakuja kushika Nchi
Na ccm jee inafadhiliwa na naniMy Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/DcmCPisMwdO/?igsi=MWJrZXVlNzFqYmlodQ==
"Mabeberu ni kina na ni?My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/DcmCPisMwdO/?igsi=MWJrZXVlNzFqYmlodQ==
Huyu mzee ni wahovyo tena saana kabisa! Aliitumia imani ya Watanzania kwa Baba wa taifa kwa maslahi binafsi kabisa! Anacho kufanya, anajua ni uongo anasema, lkn anausema iki kujaribu kufukia damu za vijana zilizo mwagika Mo29!My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/DcmCPisMwdO/?igsi=MWJrZXVlNzFqYmlodQ==
Kati ya huyo Mzee na nyie mliowadanganya hao Vijana nani ni WA hovyo anatakiwa kushitakiwa?Huyu mzee ni wahovyo tena saana kabisa! Aliitumia imani ya Watanzania kwa Baba wa taifa kwa maslahi binafsi kabisa! Anacho kufanya, anajua ni uongo anasema, lkn anausema iki kujaribu kufukia damu za vijana zilizo mwagika Mo29!
Mzee kumbuka, kiasili wewe haupo mbali na safari ya kwenda kukutana na Mungu, sasa ingekuwa ni heri tu ukatibu!
Je wanna kwamba kwa hicho kitendo chako, kisheria uneshiriki 100% ktk mauaji hayo?
Misaada ya kiserikali sio sawa na misaada ya kufadhili Vyama."Mabeberu ni kina na ni?
Hao Hao wanaofundisha jeshi lenu? Kuwa pa, misaada ya afya!?
Chadema wanapewa pesa na, wazungu, America, UK, ulaya, sawa, serikali ya, ccm inapokea misaada ya fedha, kutoka US, UK, ulaya! So what is this, pesa ikitoka kwa, mzungu kwenda kwa, chadema ni mbaya, ila, ikija kwa ccm ni, sawa! Hakuna tofauti ya ccm na serikali, wote ni wale wale, jeshi la, polisi ni ccm, Zelote Stephen alikuwa RPC Dodoma, alipostaafu akawa mwenye kiti wa ccm kigoma!
Wizi, wa, EPa, Richmond, ufisadi kila Kona unafanywa, na, ccm, ccm ndio wanafukarisha hii nchi, kama hao mabeberu ni wabaya, kwa nini mnaenda huko kuomba mtambuliwe, mpewe misaada,? Fungeni balozi, zote za, Ulaya, na, America, acheni za, china na nchi za kikomunist!
Huyu mzee at a kuwa, kichwa limejaa makamasi matupu, pesa zote anazopokea chadema zipo bongo, hajonyesha ushahidi kama zinatumika vibaya! Anaongea kama makende
Na wanachama wake ,hamukuwaona wakichangia?Na ccm jee inafadhiliwa na nani
Huyu kizeee kinaa sana anazeeka vibaya sana