PostGE2025 Mzee Butiku: Rais ameshachaguliwa, hatukubali wanaosema aondoke; sio rais wa CCM, ni wa Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Naona mzee kavurugwa!.. kwa kifupi Samia hayupo tayari kusikilizana na mtu yoyote....
 
Samia The Killer hatujamchagua. Amejipa yeye hayo mamlaka ya Rais!
 
Huyu mzee ni msaliti asiye na faida yoyote kwa nchi.
 
Mzee ameshatumika kama Ndomu ya Dume au kama Pedi ya Always Yani Hana la maana
 
Blood facjekn , amechaguliwa na nani....stupid. Kwahiyo jizee hili linakubali alioata 98% ya kura? kwahiyo tatizo halioni? Eti kama kuna matatizo tutazungumza. Stupid!
 
Kifo kimemkaribia mungu sio mjinga ukiona umri huo unaongea pumba jua ndo basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…