PostGE2025 Mzee Butiku: Rais ameshachaguliwa, hatukubali wanaosema aondoke; sio rais wa CCM, ni wa Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Laana ya kumsaliti Polepole ishaanza kumtafuna
 
Anaposema "HATUKUBALI" anaongelea akina nani walio pamoja naye? Ooops kumbe ni yeye na vyombo vya usalama?

Mimi Mwananchi nimesimama kumkataa huyo muuaji wao.

Huyu mzee ni wa kumpuuza. Lizee limeshakuwa mpaka na vilembwe bado linang'ang'ania ukurugenzi wa taasisi ya ndugu yake.

Jinga kabisa. Njaa wahed
 
Huyu mzee mpumbavu sana
 
Joseph waryoba butiku? Ndo nani huyu tena mbona umetumia jna la mzee warioba wkt hata siye umechukua jina la warioba na la butiku ili iweje?
 
Kabla P
Mbona tuhuma hii ni nzito sana, na wala sikupata bahati ya kupitia thread ya usaliti wake au ni KIPINDI CHA ban ya TCRA?
Polepole hajatekwa alizungumzia kuhusu Mzee mstaafu kukengeuka, kauli zake zinaashiria moja kwa moja kuwa yeye ndio mlengwa.
 
Rais hakuchaguliwa, yale yalikuwa ni mapinduzi ya kijeshi.

Tusilazimishe Rais kachaguliwa.
 
Kwenye wasiokubali na warioba mimi sipo! Asinisemee
 
Changamoto ya nchi yetu ni kukosa Wazee wenye Hekima na Busara!
Kipindi hiki ulikuwa siyo muda sahihi wa Wazee kutoa tamko kama hilo!
Naona siyo muda mrefu huenda mzee Warioba atalazimishwa kutoa tamko!
 
Huyu washamjadili kwenye space siku nyingi sana, kuwa alifuatwa na Abdul 'kusomeshwa' 'akajaa' na hivi punde angetoka na speech za kuunga mkono kiendawazimu kama hizi.

Nilidhani ni porojo tu za kwenye space!

... 'Hatukubali'... Hakubaliani yeye na nani, tayari kishaona madai ya haki kwa waTz ni nyoko tu?

Na kusema tuzungumze na Rais kama mmoja wetu ama mwenzetu tena kwa heshima kubwa, huyu mzee ametukosea sana heshima waTz kwa ajili tu ya kutetea tumbo lake!

Kweli 'bahasha' inaweza kuhamisha mlima!
Kwa kweli wasioelewa kilicho nyuma ya pazia kuhusiana na huyu mzee, kwa speech hii watashangaa sana!

Huyu anastahili kutengwa na kuondolewa kwenye kundi la wazee wenye busara tuliowategemea!
 
Changamoto ya nchi yetu ni kukosa Wazee wenye Hekima na Busara!
Kipindi hiki ulikuwa siyo muda sahihi wa Wazee kutoa tamko kama hilo!
Naona siyo muda mrefu huenda mzee Warioba atalazimishwa kutoa tamko!
Wote walifuatwa 'kusomeshwa', nasikia Warioba alichomoa, lakini huyu 'akajaa'.
 
Huyu mzee anaf*irwa mkun*du, amezungumzia nini kuhusu miili ambayo mpaka leo haijulikani ilipofukiwa?
 
Huyu mzee naye matako tu, huyu ndiye alimuuza Polepole kwa Mafwele. Vizee kama hivi huku kwetu Usukumani tunapiga shoka moja kichwani tunazika.
 

Hivi huyu Mzee akinyamaza atapungukiwa nini...!!?

Samia kachaguliwa au kajichagua.....!!?
 
Huyo Mzee chizi.. ndio polepole alisema ameandaliwa kuongelea maridhiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…