PostGE2025 Mzee Butiku: Tukae tuzungumze bila fujo vijana watuamini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
..unaota ndoto wewe, ccm ipi..kuna chama pale? wazee gani, wameshindwa kuona utaratibu kumpata mgombea wao kuwa batili, kitu gani wataona kwenye hii dunia..ccm kinatumiwa km kivuli lkn ni genge la wahalifu wamejivika sura ya dola!
 
Sio yule anayesemekana alimsaliti Polepole kweli? Sasa nani atamsikiliza? Alikuwa anaheshimika sana huyu Mzee.
 
kwamba polisi walienda kumtuliza huyu mtoto na siraha ya moto mzee kama hukujipanga ujanani kimaisha kaa kimya
 
Akafanye mazungumzo na waliomhonga
Asitufanye Sisi hamnazo

Huna umuhimu wala thamani kwa Tanganyika

Tutaandamana tu pengine tutapita nje ya nyumba yako
Wazee wazembe waongo walafi wasaliti ndio ninyi
 
Kuna wanaomzingatia huyu mzee kwa sasa pamoja na yule mwenzie?
 
Unaridhiana vipi na mtu ambaye hataki uwajibikaji?
 
mzee butiku ni nyoka nimiongoni ya wazee waliomsaliti mwl nyerere
huyu hana cha kukumbukwa zaidi ya uyuda
 
Mkae mzungumze na nani?

Wewe umekuwa mzee mpuuzi sana; tena unalidhalilisha jina la Mwalimu Nyerere vibaya sana.

Huko nyuma hujawahi kuyasema hayo maneno ukapuuzwa na kudharauliwa; sasa umeongezewa ujira ili nawe uwe sehemu ya uovu ndani ya nchi hii?

"Wawaamini"? Nani atamwamini muuaji, tena nanayepanga waziwazi kuua ili mradi abakie kwenye madaraka?

Wewe mzee nyamaza.
 
Hivi kuna mtu mwenye hamu ya kusikiliza anachosema huyo mzee wa hovyo? 😳
Ni ajabu. Tangu watu waanze kutekwa hakuona. Uchaguzi wa kuchakachua hakuona. Mauaji ya watu ya kukusudia tarehe 29 hakuona. Leo anajitokeza anasema konyo konyo. Vibabu vingine vinazeeka badala ya kuwa na busara vinakuwa hasara. Pumbafu1
 
Hakuna kuzungumza na muhalifu, uwanja ni mweupe kama wanataka kuandamana watoke watapokelewa vizuri.
Tutawatanguliza nguruwe mbele ili mitutu ya bunduki mnazofikiri zinawalinda ziishie kwa hao nguruwe kama wewe, kisha tunamkamata huyo mfugaji wako Samia Suluhu Hassan
 
Huyo Mzee atulize KIPAGO ,dhambi ya kumuuza Polepole itamtfauna maisha yake yote.
 
Ni ajabu. Tangu watu waanze kutekwa hakuona. Uchaguzi wa kuchakachua hakuona. Mauaji ya watu ya kukusudia tarehe 29 hakuona. Leo anajitokeza anasema konyo konyo. Vibabu vingine vinazeeka badala ya kuwa na busara vinakuwa hasara. Pumbafu1
Kuna clip alionekana akiwahimiza vijana wawahoji viongozi wao bila woga, vijana walivyoanza kujitokeza kama Cpt Tesha akakausha na kuruka hadi mwezini, leo anakuja na gia ya matope sijui anamdanganya nani. Anaaibisha kundi la wazee nchi hii kama alivyo yule mwingine wa Msoga. Hovyo kabisa!.
 
Tutawatanguliza nguruwe mbele ili mitutu ya bunduki mnazofikiri zinawalinda ziishie kwa hao nguruwe kama wewe, kisha tunamkamata huyo mfugaji wako Samia Suluhu Hassan
Kwa umri wako tulia ndani umeze vidonge vya presha hii ligi huiwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…