Mzee C.Ronaldo akubali kustaafu soka

Mzee C.Ronaldo akubali kustaafu soka

Akili ya CR7 inapiga boli kwenye post, mguu unapiga mnazi, juu kulee kwenye magorofa!!

Jana Al Nasr wamechapwa Ronaldo akaweka alama ya mikono kuwa wameishindwa kabisa Al Hilal mziki mnene!!
 
Back
Top Bottom