TANZIA Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya Afariki dunia

Mbowe alifuata katiba kwa chacha wangwe?
 
Nilisikia jamaa wanasema ati hatuna "spika" tuna "microphone!!" Ndipo nikawaza... hivi kumbe tunaweza kuwa na kasuku mpaka kwenye mhimili mkubwa vile...!!???
 
Mbowe alifuata katiba kwa chacha wangwe?
Ushahidi tafadhali... halafu ina maana hii serikali yenu inahifadhi watenda maovu au unataka kutuambia Mbowe yuko juu ya sheria kiasi cha kuogopwa kuliko "mungu wenu wa daslamu?"
 

Dunia tunapita ama kwa hakika. Maisha haya bana, Mzee alishakuwa rafiki yangu kwa kipindi flani tukihangaika kusakanya tonge liende kinywani. Apumzike kwa amani ya Bwana Yesu. Pole familia, ndg jamaa na marafiki mliogiluzwa kwa namna na msiba huu.
 
Huyo alikuwa mwizi.
 
alisha acha mambo ya SUMBAWANGA?
 
Akiwa mkuu wa mkoa ali enrol IDM Mzumbe-Baada ya miezi mitatu wakamuondoa chuoni eti hana qualification-nadhani kwenye board ya mzumbe alikuwa na wabaya wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…