Kaanza kuwa msaniiMsanii na mtengeneza maudhui ya mtandaoni (Digital Content Creator) Bw. Clemence Mwandambo amefika katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mbeya tarehe 17 Novemba 2025 kwa ajili ya kujisajili na kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN). Hatua hiyo inalenga kumwezesha kukadiriwa rasmi kama mfanyabiashara wa mtandaoni na kuendesha shughuli zake kwa kufuata matakwa ya kisheria.
Kaanza kuwa msanii
Always ni msanii, ulikuwa hulifaham hilo?Kaanza kuwa msanii
Humjui huyo jamaaHuyo nae ni nyumbu wa mbogamboga.
Sina haja ya kufatilia nyumbu wa mbogamboga mimi.Humjui huyo jamaa
kama ungekuwa unamjua usingemwita mbogamboga huku ukiwa umejificha nyuma ya keyboardSina haja ya kufatilia nyumbu wa mbogamboga mimi.
Huyu atakuwa pandikizi na mmoja wao yeye na Malisa kwasababu hadi leo hawajatekwa.Msanii na mtengeneza maudhui ya mtandaoni (Digital Content Creator) Bw. Clemence Mwandambo amefika katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mbeya tarehe 17 Novemba 2025 kwa ajili ya kujisajili na kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN). Hatua hiyo inalenga kumwezesha kukadiriwa rasmi kama mfanyabiashara wa mtandaoni na kuendesha shughuli zake kwa kufuata matakwa ya kisheria.
Sasa kapanda darajaAlways ni msanii, ulikuwa hulifaham hilo?
Acha kuleta ujuaji we mzee.kama ungekuwa unamjua usingemwita mbogamboga huku ukiwa umejificha nyuma ya keyboard
Wewe ndo unaleta ujuajiAcha kuleta ujuaji we mzee.