Huyu dr anajitafutia balaaHello everyone in Dsm
Today is the 17th of January 2021
There has been an increase in admissions into health facilities in the past week
I would like to advise you to maintain precautions as follows:
1. Avoid unnecessary gatherings
2. Wear face masks in public places
3. Adhere to hand hygeine and social distancing practises
Thank you
Please share this message and bring about awareness.
Dr. Murtaza Shk. Ayman - Saifee Hospital DSM
Ila ni Kaveteran kwenye game ni sawa mzee ku rest kwa mpeto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mzee anakijana wake aliwahi kupigwa shaba wakigombea demu
Lakini alipona
Inaelekea mzee Alikuwa hajatulia kabisa karithisha Hadi watoto
Babu anakula vitu za mavijana sijui vijana tunakwama wapi
Manzi mwenyewe ndio huyu.....Tatizo vijana hamna viete.View attachment 1680670
Ila ni Kaveteran kwenye game ni sawa mzee ku rest kwa mpeto.
Zipo kwenye public domain anaingiaje matatani hapo.....!!????Mshana Jr. Ondoa picha hizi kwani zinaweza kukutia matatani.
utachoma mkeka, shusha mafuta hayo piga kweli kweli mpaka mashine ilegee ukose hamu.Nilikuwa nina mpango wa kuwa single lakini naghairi. Kuna hatari ya kuja kuzeeka nikaanza kukimbizana na mademu nikatia hasara familia na kuharibu historia yangu. Kwa kuzingatia mzee nani yule Waziri wa zamani aliyekufa baada ya kuoa pisi kali, na huyu wa sasa.
Kuna uwezekano mwamko wa ngono unahifadhiwa ila unakuja kuulipia kama ukijinyima usingizi inavyokuwa. Ndo kwanza below 25, mpaka nafikia 40 uko si nitakuwa nimeridhika.
Sio ubahiri hawana hela....Vijana ubahilii umewajaa[emoji1787][emoji1787]
Polisi waongo sana, sio wa kuwaamini hata kidogo linapokuja swala la pesa
Miaka 80? Umri umekwenda ajipumzikie tu kwa amani. Mwanamama bado ni kijana mzee hajawezana
Necha ya mwanaume ni kupiga mshipa kwenye vitobo, unakuta mke hana ladha kashafulia. Ila dam changa zinahamasisha😁😁😁 ukienda kugusa unakuta network haisomi fresh...Una nyege ila dhakar haisimami unaamua kuipigia jeki kwa Viagra. Moyo unaanza kusukuma damu kwa kasi matokeo yake unabastisha mishipa.Yaani Mimi nikivaa viatu vya mke wa marehemu vinanibana!!
Analia kufiwa na mume? Analia mumewe kafa akiwa na mwanamke mwingine nyumba ya wageni? Analia kwa kifo Cha aibu kilichomkumba mumewe? Analia anawawazia wanae wanajisikiaje juu ya tukio?
Yaani analia na haelewi hasa Nini kinamliza.
Khaa wanaume mengine mtupunguzie jamani. Kuna umri ukifika jaribuni kushindana na hiyo mnayosema "necha"
Kulikuwa na haja gani ya kutaja "binti wa KIPARE" are you guys trying to demoralize their dignity? Kwanini hivyo yani?
Hahahahah ubaya ni kwamba wenyewe tu hao mabinti hawataki vijana kwa sababu hawana maisha. Kijana kama mimi kuhonga laki 2 per night ni uongo. Ila kwa mzee ambaye kashafanya na kumaliza majukum yake yote ya kifamilia anakuwa na disposable income kubwa ya kutapanya. Kuhonga vilaki mpaka mamilion kwa mazee yaliokomaa vizuri kiuchumi ni jambo jepesi mno wala hawawazi.Lipo la kujifunza kwa vijana haiwezekani mdada mzuri namna hiyo kimuonekano kuwa na mahusiano na mzee wa miaka 80 huku vijana mumejaa tele. Teh.
Sasa nyinyi hamuwahongi mnategemea wataenda wapi sasa ili wakidhi mahitaji yao ya kipesa?Apumzike kwa Amani!
Kweli huyo binti hapo kwa picha ndio alikua anaenda kulala na huyo Mzee?!?
Such a waste of beauty for the girl and a life lived for the old man! Ubatili mtupu!
Pole sana kwa mke wa marehemu na familia, Muumba awape uvumilivu mumsitiri mwendazake bila kinyongo maana amewavua nguo!
Sad!
Huyo binti kanisikitisha mno! Mno!