TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Mh!!
 

Na kusoma kote IFM ulikwepa mishale kwa kula zaidi ya milioni mbili za Mrume Ndago acha kusema uongo mrembo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa nini wanamshikilia huyo Mwanamke? wamuachie aendelee na shughuli zake hana kosa, Mapenzi ni sehemu muhimu sana ktk maisha
 
Huna haja ya kupanic mama .. kitendo Cha ww kupata panic attack kina ji contradict na huo utetezi wako.......

Anyway endelea kutoa utelezi ..kwa maamuzi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…