Uchaguzi 2020 Mzee Dkt. Slaa popote ulipo

Tundu Lissu 'amekaribishwa' na Mmoja wa Watoto wa Hayati Mwalimu Nyerere aitwae Madaraka na hakukaribishwa na Familia yake. Msipotoshe!!!
Madaraka ndio mkubwa kwa hiyo kama kamkaribisha yeye hayo ni maamuzi ya familia yote na nawaza kusema mama maria ndio ametoa baraka zote hizo kama ujio wa lisu usingekuwa na baraka za familia wasingekubali ujio wake
 
Ngoma ya wajinga huchezwa na wapumbavu
Unajukutaga unajua kila kitu HAYAWANI wewe!! Mengine unahis unajua ila hujui. Na wasiokujua wanajua wew ndio kila kitu kumbe ZWAZWA wa kiwango Cha PhD. MBWA KOKO TU

Nitukane 'Matusi' yote unayoyajua ila naendelea 'Kusisitiza' Kwako kuwa huna 'unachokijua' kuhusu hiyo Familia na nakushauri tulia unajichoresha.
 
Uwe unauficha ujinga wako wakati mwingine! Ile kujifanya unajua kila kitu, wakati mwingine unajiaibisha bure!

Ungana na huyo 'Mpumbavu Mwandamizi' Mwenzio niliyemjibu hapo juu tafadhali kwani huwa sina muda wa Kupoteza na 'Fools' kama nyie sawa?
 
Magufuli hajajiandaa kisaikolojia matokeo yakiwa mabaya kwake. Huu urais anajiona kama alizaliwa nao na maamuzi yake tu ndiyo ya sikilizwe.
Katiba ya Tanzania inamruhusu kufikiri hivo. Na ataapishwa kuwa rais.
 
Dr. Slaa anasuburi tarehe 28 kwa hofu kubwa manake hajui itakuwaje CDM ikishinda, mboga yake ama ugali vyote vyaweza kumwagika siku hiyo.
Lakini nafikiri, wasimwage ugali wake! wamrudishe kundini tu!
 
Dr. Slaa inaonekana anamkubali sana Lissu. na kama kweli yeye husimamia ukweli na kwa kuwa Lowasa hayupo tena CDM.. basi mzee atangaze kumuunga mkono Lissu
Itapendeza akifanya hivyo!
 
Madaraka ndio mkubwa kwa hiyo kama kamkaribisha yeye hayo ni maamuzi ya familia yote na nawaza kusema mama maria ndio ametoa baraka zote hizo kama ujio wa lisu usingekuwa na baraka za familia wasingekubali ujio wake

Madaraka Nyerere ndiyo Mjane wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere? Serikali inamtambua Mama Maria au Madaraka? Acheni 'Ujuha' wenu.
 
Nitukane 'Matusi' yote unayoyajua ila naendelea 'Kusisitiza' Kwako kuwa huna 'unachokijua' kuhusu hiyo Familia na nakushauri tulia unajichoresha.
Sijakutukana, nimejibu KIPUUZI kama ulivyoniita wew!!
Napenda tu unavyojikuta unajua kila kitu, wakati kuna mengi tu hujui.
Madaraka ndio kiongozi wa familia ile, lolote likisemwa au kufanywa na familia ile ujue lina mkono wa Madaraka.
Ujuaji mwingi mbele huwa giza!
Acha kujiaibisha
 
Tundu Lissu 'amekaribishwa' na Mmoja wa Watoto wa Hayati Mwalimu Nyerere aitwae Madaraka na hakukaribishwa na Familia yake. Msipotoshe!!!
Lakini ni inshara gani kwa ccm?? au wewe unamoni gani kwa Lisu kukaribishwa kwa mwasisi wa ccm?
 
Madaraka Nyerere ndiyo Mjane wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere? Serikali inamtambua Mama Maria / Madaraka? Acheni 'Ujuha' wenu huu.
Umeona ulivyo na kichwa kikubwa akili tone!!
Serikali na familia wapi na wapi??
Yan unafikiri familia ya Nyerere haifany chochote bila serikali???
Hakika wew ni zaidi ya KILAZA
 
Dr. Slaa hajawaacha salama pamoja na yeye kukaa kimya bado kuna watu wanamuwaza, isingekuwa upeo mfupi wa chadema sasa hivi hata wabunge wa kupita bila kupingwa isingetokea.
Kwani wabunge na madiwani kupita bila kupingwa, tatizo ni la Cdm ?!. Hivi watu wengine mmepigwa upofu siyo ?! . Misungwi madiwani wote na mbunge wamepita bila kupingwa . Tatizo ni la Cdm kweli ?!. Ukweli mnauona lawama mnarusha kwingine. Shame
 
Naendelea 'Kusisitiza' tena Kwako huku 'nikijiamini' kabisa kwa 100% kuwa huna 'unachokijua' kuhusiana na hiyo 'Familia' hivyo acha Kujichoresha.
 
Ngoma ya wajinga huchezwa na wapumbavu
Unajukutaga unajua kila kitu HAYAWANI wewe!! Mengine unahis unajua ila hujui. Na wasiokujua wanajua wew ndio kila kitu kumbe ZWAZWA wa kiwango Cha PhD. MBWA KOKO TU
Huyu jamaa analeta unoko sana, hawa ndio wale walikuwa wanajifanya much know sekondari. Anajikuta yeye ndio yeye, GENTAMYCINE acha usekondari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…