Uchaguzi 2020 Mzee Dkt. Slaa popote ulipo


Ndiyo umeniandikia 'Upuuzi' gani huu 'mrefu' hivi?
 
Punguza mihemuko! utakufa na mi sheli bure!! ukweli ni kwamba Lisu ameshamzidi Baba jesca kimbinu!! umeona leo Baba jesca amefuta vitambulisho vya wamachinga!

Sasa kama sio kuzidiwa ninini??

Hoja yako nii ni 'dhaifu' sana hebu jibiidishe Kwanza katika kutafuta 'Maarifa' zaidi na pia 'Kuunoa' vyema 'Ubongo' wako ili nawe una na IQ Kubwa.
 
Huku kupenda sifa kuliko pitiliza ni dalili ya psychosis jamani. Haiwezekani kabisa wanaume na suti zao wengine na mashahada yao kabatini kila wakiamka wanaimba Pongezi kwa Mheshimiwa Rais wa Awamu ya tano.
 
Tundu Lissu 'amekaribishwa' na Mmoja wa Watoto wa Hayati Mwalimu Nyerere aitwae Madaraka na hakukaribishwa na Familia yake. Msipotoshe!!!
Akalibishwe na mtoto au mzazi kwani kosa liko wapi?
Nyumbani kwa baba wa taifa kwani ni mali ya ccm?
Akili fupi kabisa...
Unapenda kuchochea utengano kuliko umoja..
Awe lissu au wewe au mimi na mtanzania yoyote yule tunahaki ya kukalibishwa kwa baba wa taifa au kwa mtanzania mwenzetu yoyote yule...
 
Hivi Familia ya Hayati Mwalimu Nyerere na Mwanafamilia ni Vitu viwili vilivyo sawa kama ukivipima vyote katika Medani za Kiitifaki? Nimekudharau!
Hili jamaaa bhana hovyoo kwelii kwahiyo ni nani kwa ukoo wa Nyerere?? Au ndio Mama Maria ??
 
Dr. Slaa anasuburi tarehe 28 kwa hofu kubwa manake hajui itakuwaje CDM ikishinda, mboga yake ama ugali vyote vyaweza kumwagika siku hiyo.
Siasa hazina urafiki au uadui wa kudumu. Dr Slaa ni msomi mzuri, Rais ajae anaweza kumpatia sehemu itakayomuezesha kutumia ule ubongo kwa faida ya wengi.
 
Butiama panaruhusiwa kwenda kwa kila Mtanzania Na wasio watanzania, bila kujali chama, hata Lowasa aliwahi kwenda huko! akapokelewa vizuri, akala chakula hapo hapo.
 

Another Fool!
 
Ulitaka akaribishwe na nani ndio ionekane amekaribishwa na familia ya mwalimu?

Katiba ya Nchi na Itifaki za Viongozi ( VIP's ) inamtambua Mjane wa Rais Mstaafu Mama Maria Nyerere au Mtoto wa Hayati Mwalimu Madaraka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…