Uchaguzi 2020 Mzee Dkt. Slaa popote ulipo

Aseme nini wakati ansjivunia kuona kijana wake akizitumia vyema silaha alizomkabidhi?
 
Kwani wabunge na madiwani kupita bila kupingwa, tatizo ni la Cdm ?!. Hivi watu wengine mmepigwa upofu siyo ?! . Misungwi madiwani wote na mbunge wamepita bila kupingwa . Tatizo ni la Cdm kweli ?!. Ukweli mnauona lawama mnarusha kwingine. Shame
Mbona unapayuka.halafu hatuna mtanzania anayeitwa odhiambo mind your own business
 
Mbona unapayuka.halafu hatuna mtanzania anayeitwa odhiambo mind your own business
Mtu ambaye hawezi kufanya mkutano wa hadhara na kushinda kutwa anasumbua wananchi kwenye miji na vijiwe vyao anaambiwa anafanya campaign ya kisayansi.. UVCCM mnajua kupeana moyo
 
Anatamani angekuwa yeye ndiye Lissu. Ineshapita hiyo ikienda hairudi aendelee na maisha yake amalize uzee wake salama.

Tunashukuru alitupa ujasiri wa kukilinda chama hadi leo tumenawili tena.
 
Dr. Slaa inaonekana anamkubali sana Lissu. na kama kweli yeye husimamia ukweli na kwa kuwa Lowasa hayupo tena CDM.. basi mzee atangaze kumuunga mkono Lissu
Thubutuu... kwa tonge alilonalo mdomoni hathubutu kufungua kinywa!!
 
Anatamani mno ku-comment sababu ni member hapa ila hawezi kufanya hivyo sababu asije akakiwekea mchanga kitumbua chake!! nafikri atakuwa anapitia wakati mgumu sidhani kama ana furaha na amani ya roho.
 
Huyu mzee mzinzi sana
 
Tundu Lissu 'amekaribishwa' na Mmoja wa Watoto wa Hayati Mwalimu Nyerere aitwae Madaraka na hakukaribishwa na Familia yake. Msipotoshe!!!
Tena hajakaribishwa nyumbani. Pale ni hotel/lodge. Tundu alibook pale Kama wageni wengine wanavyobook. Wakamkuta yule mtoto wa mwalimu pale kwenye biashara yake, wakaomba picha, jaman watu waache upotoshaji

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Dr. Slaa anasuburi tarehe 28 kwa hofu kubwa manake hajui itakuwaje CDM ikishinda, mboga yake ama ugali vyote vyaweza kumwagika siku hiyo.
Sio sahihi kumsema mzee wa watu ila ukweli ni kwamba CHADEMA ilifanya kosa la kiufundi kumchukua "mamvi ".Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu, nashauri Dkt. Slaa akiamua kurudi akaribishwe.
 
Kwani Madaraka sio mwanafamilia?
Mzee baba leo kachemka kweli, yeye alitaka awasikie wote kwa pamoja wakisema "Karibu kwetu mbeba maono Mh Lissu" , Hapo ndipo angeelewa kuwa Mh Lissu kakaribishwa na familia ya Mwl Nyerere

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tundu Lissu 'amekaribishwa' na Mmoja wa Watoto wa Hayati Mwalimu Nyerere aitwae Madaraka na hakukaribishwa na Familia yake. Msipotoshe!!!
Je wajua kwamba msemaji wa familia ya Nyerere ni Madaraka? Pia hakuna ubaya wa mtu yoyote kukaribishwa familia ya Nyerere. Nenda hata wewe, utapokelewa
 
Je wajua kwamba msemaji wa familia ya Nyerere ni Madaraka? Pia hakuna ubaya wa mtu yoyote kukaribishwa familia ya Nyerere. Nenda hata wewe, utapokelewa

Swine huna unachokijua kuhusu Familia hiyo na acha Kunipotezea muda wangu tafadhali sawa? Halafu mnajiita 'Wasomi' wakati ni Mapopoma tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…