Mzee Hamis Kilomoni kwisha kabisa, Jeshi la Polisi lammaliza kwa kumpa masharti ambayo hata iweje hatoyaweza!

Hakuna sheria inayolazimisha mtu kuongea na wanahabari lazima awe na kibari. Polisi watamshtaki kwa sheria ipi huyo mzee?! Ama kweli Rage aliposema wanachama wa hiyo club ni mbumbumbu hakukosea kabisa
 
Hapo kwa Rita ameshafeli, Mo aonyeshe uungwana WAMPE ruksa maana bado hatoweza kwa kukosa barua ya rita.
 
Anaweza kwenda mahakamani ndio.mkashangaa zaidi
 
Nishaelewa wanachomaanisha, kuwa Musiba akiitisha press huwa ana kibali cha nyumba nyeupe.

Mara nyingine ndio maana tunaitwa mbumbumbu...kwani anaitisha press kama mzee kilomoni au kama mjumbe wa bodi ya udhamini ya simba?

Pamoja na kwamba mimi ni Simba ila hakuna kitu kinachonikera kama MO kutuaminisha kwamba hakuna chochote anacho-gain kutoka Simba na badala yake ni kuwa Simba ndiyo inamtegemea yeye tu. Mbona kashindwa kufanya kama Bakhressa badala yake anaing'ang'ania Simba tu? He has a lot to gain
 
I dont understand,
Kwani akifanya nao mkutano via video call kitaharibika nn..
Btw huu mgogoro haunihusu na hata sijui chanzo chake ni nini

Siku zingine jitahidi kidogo Kuonyesha kuwa una Akili tafadhali. Kwani hata kama akifanya huo Mkutano wako kwa hiyo njia yako uliyoiita ya Video Call huoni kwamba Logically tu bado atakuwa amekiuka ile ile dhana ya kwamba hapashwi Kuwahabarisha Watu mpaka atimize hivyo Vigezo? Kwani Polisi na TCRA hawana Mamlaka kama Mamlaka ya Kiserikali katika Kumdhibiti na Kudhibiti Mfumo huo wa Utoaji Habari? Umenishangaza mno na Hoja yako ya Kitoto kama siyo ya Kipuuzi kabisa.
 
Brother Simba ni timu inayoshabikiwa na vigogo, kwa sasa hamna mwenye nafasi ya kuichafua, jpm simba, pm simba, bash boy simba, yani lile difenda skuile pale kwa mzee kilomoni halikwenda kwa bahati mbaya pale

Umemaliza kila Kitu Mkuu kwa Kueleza kwa usahihi kabisa na labda nami niongezee tu hapa kwamba kwa haya Masharti aliyopewa huyu Mzee ni Bonge la Mtego ambao najua kwa Upumbavu wake anaenda Kuuvagaa kisha Watu wenye Mapenzi mema na Simba SC wafanye yao. Naishauri mapema sana Familia ya huyu Mzee ikae nae chini haraka mno Kuanzia leo na aachane na huu Mpango wake kwani kwa nilichoambiwa ( Kichinichini ) kilichoandaliwa dhidi yake nawaonea Huruma. Angalizo langu hili Familia ya huyu Mzee walichukue Kiumakini kabisa.
 
Brother Simba ni timu inayoshabikiwa na vigogo, kwa sasa hamna mwenye nafasi ya kuichafua, jpm simba, pm simba, bash boy simba, yani lile difenda skuile pale kwa mzee kilomoni halikwenda kwa bahati mbaya pale
Wacha wee,[emoji23][emoji23],full majigambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…