Mzee Hamis Kilomoni kwisha kabisa, Jeshi la Polisi lammaliza kwa kumpa masharti ambayo hata iweje hatoyaweza!

Wacha wee,[emoji23][emoji23],full majigambo.
ukweli ndio huo lile doka, la maafande lililoenda pale kwa mzee kilomoni skuile halikwenda kwa bahati mbaya, wale waliagizwa , huwezi taka kuiharibia timu ya wakubwa ukaachwa salama mzee atulie alee wajukuu
 
yaani mwakyembe asiingilie kabisa hizi timu, asikilize nini mashabiki tunataka
 
Akili zenu mmezifunga sijui kwenye K?
 
Write your reply...1.Mzee Kilomon shujaa na kikoc kaz imara ,
2.Wanashindwa/wanakwama wap ssc hata wasimnyang`anye hati,
3.kuzuia mkutano sio issue nyet kwan hta youtube au other media services awezatumia,
4.kivp vigogo wanachama wameshndwa kumshughulikia WAZIR NA KILOMON kisheria?
 
Mo hawezi kuwa mkubwa kuliko serikali.
 
Watanzania mtakalia Usimba na Uyanga wanaofaidika ni wengine. Nasema hivi soka la Tanzania halitaendelea kamwe mkiendekeza usimba na uyanga.
 
Kilichoandaliwa Kwake nina uhakika hata hao ambao wanamtuma na kumjaza huo Ujinga watamkimbia na Kumuacha akiteseka peke yake.
Kweli kbsa......
Anatia hasira sana...... Hyooo mzee

Ova
 
Hii ishu bado mbichi...mambo yanaweza kugeuka nyuzi 180°.

Simba ya wananchi.
 
Bashite ndio kasema?hati za Kilomoni Zina jina la Sunderland..atafungwa mtu kwa fraud ooh ooh
 
Wamekosea
Wangemsweka na ndani walau wiki kidogo akili imkae sawaaa
 
Swadaktaaa!!!!!!!
 
Kuna Nkwabi mwingine anaitwa Fikirini ni nani nani katika club ya simba? Mwenye historia na cheo chake ndani ya simba tafadhari.

Je Nkwabi na mzee Kilomoni ni ndugu?
Huyo ni kibaka fulani hivi anayemjaza ujinga huyu kubwa jinga kilomoni,na ni Yanga lialia huyu fikirini.
 
Polisi msihangaike na huyu Mzee akiitisha mkutano wa kihuni na sisi wahuni tutakuwepo hapo tutamfanyia uhuni ambao hajawahi kufanyiwa ohoooooo mwacheni ajichanganyeee saaasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…