Jumla kuu 10-2,Kwetu 5-1 kwao 1-5,Kuna ulazima wa kuhakiki vyeti vya huyu mzee sio kwa mwendo huu.Na wale mashabiki wake hawachelewi kuingia na Mabango game ijayo MZEE OUT,
Huku kwetu wameanza kujitetea kwa Kusema Mzee alipanga Kikosi B sijui kama yana Ukweli Ndani yake hayo au ndo mfa maji tuu...
Hongera ule Upande Mwingine Naona kwenye timu yenu anatoka Smg anaingia Rpg kila mjamaa yupo powa kwenye Timu yenu
THE BAVARIANS.