Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kuchanganya dini na siasa kunatokea pale mtu yeyote (awe kiongozi au sio kiongozi wa dini) anapomtetea au kumshambulia mwanasiasa kwa sababu tu ya dini yake.Siasa isichanganywe na dini, sisi tunasema dini iheshimike, dini inakubalika, dini iachiwe nafasi kwa mujibu wa taratibu za dini" -Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Joseph Butiku: Naunga mkono mazungumzo ya Reforms. Kuna rushwa, kuiba kura na Polisi kutumika vibaya
Kanisa gan wanasimamia haki bro??Kama anakubali kuwa viongozi wa dini ni wasimamizi wa haki.
Kwanini viongozi hao wa dini wanapotoa matamko ya kukemea ukiukwaji wa haki, Mzee huyo tena aseme siasa imechanganywa na dini?