1. Umesema polisi wamekuwa wana siasa na kuegemea upande wa CCM. Wanajiingiza katika siasa.
.2. Umewalaumu DED kuvuruga uchaguzi
3. Umekemea kutokuwepo na tume huru ya uchaguzi
4. Na mengin mengi mazuri kabisa
ILA:
1. Mhusika wa haya yote ni rais. Katiba yetu inatupa rais mfalme, kauli yake ni final. Akisema wakurugenzi acha kuingilia chaguzi, watakoma sekunde hiyo hiyo.
2. Akisema katiba mpya ni kesho, itakuwa hivyo
3. Akisema tume huru ya uchaguzi na iwe ni kesho
4. Akisema IGP wambura sitaki utekeji, keho utakoma
Mwambie samia atekeleze hayo usimkwepeshe na wajibu wake huo.
View: https://youtu.be/I8F3JKCgGxg?si=E_Ptja0Izcq2ppqb