MKATABA WA HALI BORA WA WAFANYAKAZI TANZATE ONE WAELEKEA KUSAINIWA NA MENEJIMENTI. Hivi ni wakati gani kisheria mwajiri anatakiwa kusaini mkataba wa hali bora kwa wafanyakazi ? Maana huu wa wafanyakazi wa Tanzanite one umechukua muda mrefu kusainiwa takiribani miaka 3 .