Mzee kaingia pharmacy

Francis Mawere

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
958
Reaction score
831
Mzee kaingia pharmacy,
MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa
MFAMASIA: Kitu gani?….Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka …majimaji yaliyomo kwenye
kichupa kwenye kijiko na kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja;
MZEE: Nipe jibu, ina utamu wa sukari au chumvi au pilipili?
MFAMASIA: Kama chumvichumvi
MZEE: Hakuna sukari
MFAMASIA: Sukari hakuna kabisa
MZEE: Loh asante chukua hii alfu tano nashukuru sana, dokta alinambia nipime mkojo wangu kama nina kisukari, kumbe sina asante bwana mdogo
 
utaonjaje usivyovijua??
huyo mfamasia chenga kweli!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tangu Mwanzo aliahidiwa FEDHA sasa kwa nini asionje?? na hii hali ya Ukame alitamani Kunywa tuu ili apate hiyo hela
 
Tangu Mwanzo aliahidiwa FEDHA sasa kwa nini asionje?? na hii hali ya Ukame alitamani Kunywa tuu ili apate hiyo hela
ingekua sumu, hiyo fedha ingemfaa kitu gani?
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
utaonjaje usivyovijua??
huyo mfamasia chenga kweli!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo alikuwa anaonja ili akijue
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kamanda Sirro Hebu njoo huku. Kuna makanjanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…