johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais mstaafu mzee Kikwete amefurahishwa na Ushindi wa baadhi ya wagombea binafsi wa nafasi za juu katika Uchaguzi wa Kenya
Vyama vya siasa vinaweza kuwanyima fursa watu wanaohitajika na kupendwa na wananch lakini fursa ya mgombea binafsi huwa suluhisho, amesema
Kwa mfano mshindi mmoja wa Ubunge alishindwa kwenye kura za maoni kule Jubilee na amegombea kama private candidate na kumshinda yule yule jamaa waliyechuana naye kwenye chama
Chanzo: Citizen tv