johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mambo hubadilikaHivi siyo serikali ya huyu mnafiki walifunguwa rufaa bungeni kupinga ushindi wa kesi ya mgombea binafsi? I hate hypocrites and hypocrisy!
Kuna wakati tuna laumu bure.Hivi siyo serikali ya huyu mnafiki walifunguwa rufaa bungeni kupinga ushindi wa kesi ya mgombea binafsi? I hate hypocrites and hypocrisy!
Shetani akizeeka, hutamani kuwa malaika bwasheeMambo hubadilika
JK ana influence gani Kenya hadi amwambie Kenyatta? Kenya is for Kenyans and Tanzania is for TanzaniansJK amwambie Kenyatta amkabidhi Rutto nchi kwa amani.
Hizi delay tactics za kupika matokeo ambazo naamini kwa sasa ndio zinafanyika ili kumshindisha Raila, may set that country ablaze...
Ni huyu huyu! Unafiki ni sumu!Hivi siyo serikali ya huyu mnafiki walifunguwa rufaa bungeni kupinga ushindi wa kesi ya mgombea binafsi? I hate hypocrites and hypocrisy!
Mnisamehe sana, Kikwete is hopeless. Alikuwa rais alikataa kurekebisha katiba kuweka kipengele hicho leo anabwabwaja. a ngalau kipengele hicho angelikishinikiza kikawepo wakati yupo madarakani, leo analeta uswahili wa bagamoyo!Rais mstaafu mzee Kikwete amefurahishwa na Ushindi wa baadhi ya wagombea binafsi wa nafasi za juu katika Uchaguzi wa Kenya
Vyama vya siasa vinaweza kuwanyima fursa watu wanaohitajika na kupendwa na wananch lakini fursa ya mgombea binafsi huwa suluhisho, amesema
Kwa mfano mshindi mmoja wa Ubunge alishindwa kwenye kura za maoni kule Jubilee na amegombea kama private candidate na kumshinda yule yule jamaa waliyechuana naye kwenye chama
Chanzo: Citizen tv
Inatakiwa 50% + 1JK amwambie Kenyatta amkabidhi Rutto nchi kwa amani.
Hizi delay tactics za kupika matokeo ambazo naamini kwa sasa ndio zinafanyika ili kumshindisha Raila, may set that country ablaze...