Mzee Kikwete akanusha kuwepo kwa Mawaziri wanaotafuta fedha na mikopo nje ya nchi kumg'oa Samia Uchaguzi 2025

Ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande mmoja tu wa mtoa kauli Mh Albert Chalamila hadi kuagiza achukuliwe hatua na Chama na sio wale waliotajwa na RC Chalamila kuhusika na njama za kumhujumu Rais aliyeko madakaran
mstaafu jakaya inampasa atoke hadharani afafanue hizi hoja zote alikuwa ana maanisha nini maana alipandwa sana na hasira hadi wajumbe wote wakashangaa hasira zimetoka wapi
 
mstaafu jakaya inampasa atoke hadharani afafanue hizi hoja zote alikuwa ana maanisha nini maana alipandwa sana na hasira hadi wajumbe wote wakashangaa hasira zimetoka wapi
Alimaindi Sana chalamila kutibua mipango mapema [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
mstaafu jakaya inampasa atoke hadharani afafanue hizi hoja zote alikuwa ana maanisha nini maana alipandwa sana na hasira hadi wajumbe wote wakashangaa hasira zimetoka wapi
Mkuu Shakari Hakuna cha kutoka hadharani zaidi ya hapo, tuliosoma CUBA tumeshaelewa muda mrefu sana mbona kila kitu kiwazi kabisa.... vijana wanasema ukiona hivyo wahuni wamegusa pabaya!
 
Hivi bado tu munaendelea na mada hii kama vile amesema jambo jipya?
 
Hivi bado tu munaendelea na mada hii kama vile amesema jambo jipya?
JK ameongea mambo makubwa sana kwa mustakabali wa chama na nchi yetu sio madogo kama unavyotaka kutuaminisha. na hata yeye mwenyewe alijua ni mambo makubwa ndio maana akayasema
 
JK ameongea mambo makubwa sana kwa mustakabali wa chama na nchi yetu sio madogo kama unavyotaka kutuaminisha. na hata yeye mwenyewe alijua ni mambo makubwa ndio maana akayasema
Sawa lakini yameshaongelewa sana na majibu ndiyo hayo hayo hakuna jipya
 
Sawa lakini yameshaongelewa sana na majibu ndiyo hayo hayo hakuna jipya
Rais Mstaafu Kikwete anamwambia Rais Samia kwamba kwenye utawala wake hakukubali upuuzi huo, Lakini watanzania wote tunakumbuka nchi alivyoitumbukiza kwenye matatizo mengi kama uendeshaji duni wa chama na Serikali mpaka ikafikia hatua hatua ya KUJIVUA GAMBA ili kuinusuru CCM, mikataba mibovu kama Richmond, IPTL, Bandari ya Bagamoyo na Escrow mbayo ilisababisha hasara kubwa kwa nchi yetu lakini pia tunakumbuka bandari ya Dar es Salaam JK alivyoikabidhi kwa GSM hadi kusababisha mfarakano mkubwa na wafanyabiashara hadi watu kumwagiwa tindikali. leo Mzee Kikwete anapata wapi kiburi cha kutamka hayo hadharani kwamba jkwenye utawala wake hakukubali upuuzi huo.
 
Yeye ndiye raisi
 
Kama ni mkweli, angeshikilia hapo pa kuitwa awataje na siyo kukanusha na kusema kwamba ni uongo.
Daah! Bonge la point. Bila shaka mawaziri wanaosemwa na Chalamila wapo na Kikwete anaonhoza mission hiyo na anawafahamu. Ila ametoa kanusho ili kumpoteza mhe rais.
 
Kila nchi inawakubwa wake.
Pia kumbuka kaa madarakani kama president miaka 10.
Na kawa waziri wa mambo ya nje kwa miaka mingi.
Kaa humo kwa sasa.
 
Hahaha.........Chalamila aliongea kwa uhakika zaidi!
KCMC enzi zile alikuwepo legend Professor (HD) pale Radiology, pamoja na umri ulikuwa umeenda lakini kichwani kulikuwa kumejaa hivyo alikuwa akitembea vitu navyo vilikuwa vikiendelea kumwagika ..utamwona anaongea peke yake lakini ukisogea karibu utagundua kumbe anatunga maswali ya mtihani na kweli wanafunzi wa Radiology walikuwa wakiingia chumba cha mtihani basi ilikuwa ni kitonga tupu....RIP Diefenthal.
 
Mungu wa Kweli anapoepukwa, basi ndimi hugongana na tawala zinajifitini.

Hii ni dalili njema
 
Hivi JK yeye mwenyewe amejuaje kuwa ni uongo? Na wakati huo huo anasema eti Chalamila aitwe kwenye vikao vya nidhamu awataje.
Kama ni mkweli, angeshikilia hapo pa kuitwa awataje na siyo kukanusha na kusema kwamba ni uongo.
ndio tunajiuliza wote
 
JK ndiye Rais wa kweli wa hii nchi. Huyo mwingine mnayejifanya kumuita Rais ni "kikaragosi" tu cha JK. Yaani kinachezeshwa vile JK atakavyo.
Hili Sasa ndio TISS ya ukweli inatakiwa ikomeshe Kikwete kuingilia utawala wa Samia kwa mbinu za kazi yao!
Kikwete alitawala kwa miaka kumi na akafilisi nchi na mafisadi wenzie ; leo tena kwa kumuona Samia weak anaendeleza libeneke lake unhindered!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…