Mzee Kikwete akanusha kuwepo kwa Mawaziri wanaotafuta fedha na mikopo nje ya nchi kumg'oa Samia Uchaguzi 2025

Usiempenda kaletwa mjini ulipo wewe.
 
Hapo nimeambulia patupu ! Kunani ??!!
Kikwete alimsema Chalamila kwa Samia kuwa asisikilizwe, mzushi na aitwe ahojiwe kwa maneno aliyotoa..

Sasa imekuwa kinyume, ameletwa dar alipo JK na kupewa ukuu wa mkoa.
 
Kikwete alimsema Chalamila kwa Samia kuwa asisikilizwe, mzushi na aitwe ahojiwe kwa maneno aliyotoa..

Sasa imekuwa kinyume, ameletwa dar alipo JK na kupewa ukuu wa mkoa.
Wanasemaga katika Siasa hakunaga adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu !! Ngoja tuone what’s cooking 🥘 !
 
Chalamila amemaliza kazi yake
 
Wakati wa jiwe jamaa alipotea kwenye chama akabaki mstaafu, siku hizi kawa kama ndie mwenye chama!
 
Halafu kuonyesha madame ana jeuri kamleta mwendesha baiskeli Bashite lazima Chalinze wakasirike na kumuona mama anadili gia angani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…