Mzee Kikwete: SGR iliasisiwa na Hayati Mkapa na Mimi wakati namkabidhi Madaraka hayati Magufuli nilimsihi aanze Utekelezaji wa mradi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu

Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake

Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria

Source: ITV Habari
 
R

Na wakati huo huo tena akarudi tena kuongoza nchi na kumkabidhi mama amalizie na kuleta vichwa huku documents zote akisaini yeye mwenyewe na bado yupo .madarakani mpaka sasa
 
kwani uuzwaji wa mashirika ya umma alikosea (Mkapa) wapi? mbona mengi leo yanafanya vizuri sana tu?

..Na mashirika yalianza kuuzwa wakati wa Mzee Mwinyi.

..kipindi cha Mzee Mwinyi mashirika ya Bia, na Sigara, yalikuwa ya kwanzakwanza kuuzwa.

..pia TRA iliundwa wakati wa Mzee Mwinyi kutokana na kazi na mapendekezo ya Tume ya Edwin Mtei.
 
Back
Top Bottom